Rais Samia aionya Simba fainali Muungano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan ameionya klabu ya Simba wakati ikijiandaa kukutana na Azam kwenye fainali ya Kombe la Muungano. Akizungumza leo kwenye kilele cha Miaka 60 ya Muungano, Rais Samia amesema Simba haitakiwi kuidharau Azam kwenye mechi hiyo ya fainali itakayochezwa kesho kuanzia saa 2:15 usiku kwenye Uwanja…