Tuimarishe Lishe, Tupunguze Magonjwa Sugu

…………… NA. MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi amewataka wadau kushirikiana na Serikali katika kuimarisha hali ya lishe nchini ili kupunguza kasi ya kuenea kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Amesema ulaji usio faa na mitindo mibaya ya maisha vimechangia kuongezeka kwa magonjwa…

Read More

Mahakama yaitaka Jamhuri kukamilisha upelelezi kesi ya Mange Kimambi

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitaka Jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi iliyomfungulia mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii ya X na Instagram anayeishi Marekani, Mange Kimambi. Maelekezo hayo yametolewa leo Alhamisi Desemba 4, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube anayesikiliza kesi hiyo ilipotajwa mbele yake kuangalia mwenendo wa…

Read More

Bao la Dube bado lamliza Kulandana

KIUNGO wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana bado anaweweseka na kipigo cha mabao 2-0 ilichopewa timu hiyo na Yanga, huku akilitaja bao la Prince Dube lililotokana na penalti kuwa ndilo lililowatoa mchezoni na kujikuta wakipoteza mechi hiyo inayokuwa ya sita msimu huu. Kipigo hicho kilichopatikana kwenye Uwanja wa KMC kilikuwa cha pili mfululizo kwa timu hiyo…

Read More

Asilimia 77.7 Kilombero wanapata huduma ya maji safi na salama

IMEELEZWA kuwa lengo la serikali kuwafikishia maji safi na salama asilimia 85 ya wananchi waishio vijijiji na asilimia 95 ya wananchi waishio mjini ifikapo mwaka 2025, linakaribia kutimia wilayani Kilombero mkoani Morogoro baada ya asilimia 77 ya wananchi wa wilaya hiyo kufikishiwa huduma hiyo.  Anaripoti Victor Makinda, Morogoro … (endelea). Hayo yamebainishwa na Meneja wa…

Read More

CCM yatangaza muundo mpya wa wajumbe, uteuzi wa wagombea

Dodoma/Dar es Salaam. Hatua ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufanya mabadiliko ya Katiba yao huenda ikazua maumivu kwa wagombea ubunge na udiwani. Mabadiliko hayo yamefanywa na Mkutano Mkuu wa chama hicho, jijini Dodoma leo Januari 19, 2025, mbele ya Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Akisoma mabadiliko hayo, Katibu wa NEC, Oganaizesheni Taifa, Issa Gavu,…

Read More

Azam FC kuifuata AS Maniema kiakili

KIKOSI cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka nchini keshokutwa Jumatano kwenda DR Congo kuiwahi mechi ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Maniema Union, huku kocha wa timu hiyo ya Chamazi, Florent Ibenge akitambia maandalizi waliyofanya. Mechi hiyo itapigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Stade des Martyrs, Kinshasa DR Congo, huku timu…

Read More

Straika Coastal apiga hesabu za Simba

WAKATI safu ya ulinzi ya Simba ikiongozwa na beki Mcameroon, Che Malone Fondoh ikiwa haijaruhusu bao lolote katika mechi nne za Ligi Kuu Bara msimu huu, imeonekana kumpa kazi mpya mshambuliaji wa Coastal Union, Maabad Maulid, akianza kupuiga hesabu kali kabla ya kesho timu hizo kukutana. Maabad  ndiye mshambuliaji kinara wa Coastal, akiwa na mabao…

Read More