Musukuma ataka ‘mashangingi’ ya Serikali yafungwe mfumo wa gesi
Dodoma. Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameshauri magari ya mawaziri yafungwe mfumo wa gesi (CNG) kupunguza matumizi ya mafuta. Musukuma amesema hayo leo Alhamisi Aprili 25, 2024 alipochangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/25, iliyowasilishwa Aprili 24,2024 na waziri wa wizara hiyo, Dk Doto Biteko. Amesema…