
Mtibwa yarejea Ligi Kuu kwa kichapo, baada ya msoto wa siku 481
BAADA ya kusoka kwa siku 481 katika Ligi ya Championship, Mtibwa Sugar imeanza vibaya Ligi Kuu Bara msimu huu, kufuatia kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mashujaa katika mechi iliyopigwa jioni hii kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, mkoani Kigoma. Mabingwa hao wa zamani wa mwaka 1999 na 2000 ilishuka daraja msimu wa 2023-2024, baada ya…