Kauli za kisiasa zilivyotawala maziko ya mama yake Mdee

Moshi. Wakati Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo akisema hafurahishwi na jina la Covid-19 walilopewa Halima Mdee na wenzake 18, vyama vya CCM na Chadema, wameonesha dhamira ya kumhitaji Halima kisiasa.  Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amekoleza mvutano huo wa kisiasa pale aliposema Halima…

Read More

Profesa Shemdoe aitwisha zigo Tahosa udhibiti matukio shuleni

Arusha. Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amewaagiza wakuu wa shule za sekondari nchini kuendelea kusimamia nidhamu na kudhibiti utoro wa wanafunzi na walimu shuleni, hatua inayolenga kuinua ubora wa ufundishaji na ujifunzaji. Ametoa maagizo hayo leo Jumatano, Desemba 17, 2025, wakati akifungua Mkutano wa 20 wa Umoja…

Read More

Ajali ya ‘kipanya’ yaua 14 Tabora, tisa wajeruhiwa

Tabora. Jinamizi la ajali limeendelea kutikisa nchini baada ya watu 14 kufariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali iliyotokea Barabara ya Itobo – Bukene, Wilaya ya Nzega, mkoani Tabora. Ajali hiyo imetokea leo Alhamisi, saa 2:20 asubuhi Novemba 7, 2024 katika Kijiji cha Mwasengo Kata ya Itobo baada ya gari dogo ya abiria aina…

Read More

ANC, DA wakubaliana kuunda serikali Afrika Kusini – DW – 14.06.2024

Bunge jipya lililoapishwa nchini Afrika Kusini limekwishaanza mchakato wa kupiga kura ya siri kumchagua rais mpya atayeliongoza taifa hilo. Mchakato huo unafanyika huku taarifa zikitangazwa kwamba chama cha African National Congress ANC kimefikia makubaliano ya kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa na vyama vingine vitatu, ikiwemo wapinzani wao wakubwa wanaogemea zaidi sera za kibiashara cha…

Read More

Hizi hapa dalili za changamoto ya afya ya akili kwa mjamzito

Mwanza. Kukosa usingizi wakati wa ujauzito, kujilaumu, kuwaza sana, kula sana na wakati mwingine kutokula kabisa ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa dalili za changamoto ya afya ya akili kwa mjamzito. Dalili hizo zimebainishwa leo Ijumaa Aprili 19, 2024 wakati wa kufunga mafunzo kuhusu changamoto ya afya ya akili kwa wajawazito na kina mama waliojifungua…

Read More

Watuhumiwa mauaji ya mtoto Grayson wafikishwa mahakamani Dodoma

Dodoma. Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Grayson Kanyenye (6) wamefikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024. Mpaka sasa bado haijajulikana kesi hiyo itasomwa katika mahakama gani. Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Graison Kanyenye (6) wakifikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024. Picha na…

Read More