RAS ,MRATIBU WA MAAFA PWANI WAPOKEA UGENI KUFANYA UFUATILIAJI WA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KAMBI ZA MAFURIKO
Na Mwamvua Mwinyi,RufijiApril 23 Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa ya mafuriko Rufiji na Kibiti mkoani Pwani. Aidha amepongeza mkoa,maofisa ustawi wa jamii kata,wilaya na mkoa…