Shibuda amlima waraka mzito Bulembo
MKONGWE wa siasa nchini, John Shibuda amemshukia kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Mulembo, aliyempinga Mbunge wa Kisesa, Lwaga Mpina. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hivi karibuni, Mpina alikaririwa akitaka Serikali iunde Tume kuchunguza kifo cha Rais John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17 mwaka 2021 na nafasi yake kuchukuliwa na Rais Samia Suluhu…