Waliovamia hifadhi ya Iluma kuondoka kwa hiari
Ulanga. Mkuu wa wilaya ya Ulanga, Dk Julius Ningu amesema hatua ya kuwaondoa wananchi waliovamia eneo la hifadhi ya jamii ya Iluma iliyopo kijiji cha Mbuyuni kata ya Minepa wilayani humo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa bila ya kutumia nguvu kubwa ya vyombo vya dola. Akizungumza na Mwananchi, Dk Ningu amesema kabla ya kutoa agizo la…