MSAADA WA KIBINADAMU KWA WAHANGA WA MAFURIKO PWANI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge (wa pili kulia) akipokea msaada wa kibinadamu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya Rufiji na Kibiti wenye thamani ya takribani shilingi 250m uliotolewa na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation. Msaada huo ulikabidhiwa na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Vyombo vya Habari wa kampuni ya Vodacom Tanzania…

Read More

NMB yadhamini Mkutano Mkuu ALAT, kufunguliwa na Samia

BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. 120 milioni kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT Taifa), unaofunguliwa Jumanne tarehe 23 Aprili 2024 na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ukiwakutanisha washiriki zaidi ya 600. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiasi hicho kinachodhamini mkutano wa mwaka huu unaofanyika…

Read More

Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno

Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi  wanaowakilisha  Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na teknolojia nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Rais Samia ametoa pongezi hizo leo tarehe 22 Aprili 2024 alipokuwa anawahutubia Mabalozi hao kwa…

Read More