CAG atilia shaka uadilifu wa Viongozi wa Manispaa ya Temeke ,Njombe.
*Ni utoaji wa mikopo wa fedha zaidi ya kilichoombwa Na Chalila Kibuda ,Michuzi TV Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Njombe zilitoa mikopo zaidi ya kilichoombwa hali hiyo Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali CPA Charles Kichere ametia shaka juu ya utoaji mikopo zaidi kilichoombwa. Halmashauri ya Temeke ilitoa fedha kwa vikundi 12…