Yao arejea Yanga baada ya dakika 360
BAADA ya kukosekana katika michezo minne iliyopita sawa na dakika 360, hatimaye beki wa kulia wa Yanga, Attohoula Yao amerejea uwanjani kwa kupangwa kuanza katika mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Simba ambao unachezwa leo, Jumamosi kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Yao ambaye alipata majeraha katika mchezo wa ligi dhidi ya Azam, alikosa mechi mbili…