Célestin Ecua atuma salamu nzito

SAA chache baada ya Célestin Ecua kutambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga, mwenyewe ameibuka na kutuma ujumbe wenye ahadi ya kufanya vizuri zaidi kuipa mafanikio klabu hiyo ambayo msimu uliopita ilibeba mataji matano ambao ni Kombe la Toyota, Ngao ya Jamii, Kombe la Muungano, Ligi Kuu Bara na Kombe la FA. …

Read More

Watu 6,000 kutibiwa bure magonjwa ya macho

Mtwara. Zaidi ya wananchi 6,000 wanatarajia kupata elimu ya utunzaji wa, vipimo na matibabu ya macho bure kupitia kambi maalumu. Hayo yameelezwa leo Aprili 27, 2024 na Mratibu wa kambi ya macho wa Taasisi ya Bilal Muslim Agency, Hassan Dinya katia kambi siku tatu ya macho wanayofanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Better Charity ya…

Read More

Stars, Zambia haina kujuana leo kazi kazi

STAA wa Taifa Stars, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amewaambia mashabiki kwamba mechi ya leo jioni dhidi ya Zambia katika Uwanja wa Levy Mwanawasa nchini humu; “haina kujuana.” Amesisitiza kwamba anaamini hakutakuwapo na mabadiliko ya kutisha sana kwenye kikosi cha  Zambia na wao kama wachezaji wanajua pakuanzia na wameshaifanyia kazi kubwa mechi hiyo ya kuwania kufuzu Kombe…

Read More

Ujumbe wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Dar/mikoani. Wakati mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan ukitarajiwa kuanza, waumini wa dini ya Kiislam wameaswa kutumia mfungo huo kutenda mema, kusaidia wenye uhitaji, kutii mamlaka na kuwaombea viongozi wa dini na Serikali kama sehemu ya ibada ya kumrejea Mungu. Pia, viongozi hao wa dini ya Kiislam wamewataka waumini wao kuliombea Taifa liendelee kuwa na…

Read More

Nini hatima ya Odinga baada ya mapito yaliyojaa mikosi?

Dar es Salaam. Kushindwa kwa Raila Odinga katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) kunaibua swali kubwa: nini mustakabali wa kisiasa wa mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 79? Katika uchaguzi uliofanyika Februari 15, 2025, jijini Addis Ababa, Ethiopia, Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Youssouf, alishinda kwa…

Read More

Familia yabainika kuzika mwili usio wa ndugu yao

Moshi. Mwili wa Richard Shoo (31) uko wapi? Hilo ni swali ambalo wanafamilia wanajiuliza, baada ya mwili waliokuwa wameuzika awali kubainika kuwa si wa ndugu yao, bali ni wa Jackson Joseph (29). Ni siku 57 zimepita, tangu mwili huo uliokuwa ukigombaniwa na familia mbili kufukuliwa kwa amri ya Mahakama kwa ajili ya uchunguzi wa vinasaba…

Read More