Ibenge atumia dakika 45 kupiga chabo wapinzani

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge hajakaa kinyonge kwani baada ya mechi yao ya kwanza katika Kombe la Mapinduzi iliyopangwa kuchezwa Desemba 28, 2025 dhidi ya URA kusogezwa mbele, akaamua kuitumia siku hiyo kuwasoma wapinzani wake. Azam iliyopangwa Kundi A katika michuano hiyo inayofanyika Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja kabla ya fainali…

Read More

Mwabukusi azungumzia kifo cha Wakili Seth

Kagera. Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema mara ya mwisho kuonekana hadharani Wakili Seth Niyikiza, ilikuwa Februari 19, 2025 hadi alipopatikana akiwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake. Wakili Seth alikutwa amefariki dunia nyumbani kwake maeneo ya Bukoba mjini, Februari 25, 2025 baada ya mteja wake kuona inzi wengi dirishani na…

Read More

Kisa barabara, wabunge wambana Waziri Ulega

Dodoma. Mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2025/26 umejikita katika ujenzi wa barabara, huku baadhi ya wabunge wakionyesha hofu ya kurejea bungeni katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu. Hofu za wabunge hao zinatokana na kile walichoeleza kwamba iwapo baadhi ya barabara majimboni kwao hazitajengwa, watakuwa katika hatihati…

Read More

OLIMPIKI 2024: Tumevuna tulichopanda | Mwanaspoti

ACHA niwe mkweli tu, tangu mwanzo binafsi niliamini timu yetu ya Tanzania iliyoshiriki Michezo ya 33 ya Olimpiki huko Paris, Ufaransa iliyomalizika Jumapili ya wiki iliyopita ilikuwa dhaifu sana, kiasi haikuwa na uwezo wowote. Sio tu wa kushinda medali, bali hata ile chembe ya kutia kishindo cha maana kwenye michezo hiyo mikubwa kuliko yote duniani….

Read More