Mgombea ubunge aahidi kuondoa tatizo la maji Uyui
Tabora. Zikiwa zimepita siku chache tangu mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, kunadi sera za chama hicho mkoani Tabora, Wilaya ya Uyui nayo imezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi. Katika uzinduzi huo, mgombea wa ubunge wa Jimbo la Uyui kupitia CCM, Shaffin Sumar ameahidi kutekeleza ilani ya chama iwapo atapewa ridhaa ya kuongoza. Ametaja…