MZUMBE YASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA TAASISI YA UWAKALA WA VYUO VIKUU NJE YA NCHI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha (wa pili kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uwakala wa Vyuo Vikuu Nje ya Nchi (Global Education Link ltd) Bw. Abdulmalik S. Mollel (wa pili kulia) wakisaini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano baina ya Taasisi hizo. ********* Chuo Kikuu Mzumbe kimeingia katika hatua mpya ya…

Read More

Kuwatapeli waumini ni jinai kama unyang’anyi

Dar es Salaam, Utotoni tulikuwa na kawaida ya kuketi kwenye nyumba ya mmoja wetu kuangalia mikanda mipya ya video. Ilikuwa hivyo kwani tulikuwa tukicheza pamoja, siku za mapumziko ya mwisho wa juma tukatafuta mkanda mkali na kuchagua pa kuuangalia siku hiyo. Wazazi walikuwa aidha wameenda kufanya kazi kwa masaa ya ziada au pengine nao walitoka…

Read More

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MALAWI KUSHIRIKI MAZISHI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Hayati Dkt….

Read More

Hamadi: Kuna cha kujifunza kwa Bocco, Nyoni

KOCHA wa JKT Tanzania, Hamad Ally amesema kuna kitu cha kujifunza kwa wachezaji chipukizi kupitia wakongwe John Bocco anayekipiga JKT, Erasto Nyoni (Namungo) na Kelvin Yondani (KenGold) namna ya kulinda vipaji kwa kucheza muda mrefu. Wakongwe hao wana zaidi ya miaka 15 wakikiwasha Ligi Kuu Bara  wakibebwa na namba wakiwaacha mbali wachezaji vijana wanaoibuka na…

Read More

MERIDIANBET YAPELEKA TABASAMU KIGAMBONI SIKU YA KINA MAMA

KAMPUNI ya Meridianbet imefanikiwa kupeleka tabasamu Kigamboni eneo linalofahamika kama mji mwema, Kwani wataalamu hao wa michezo ya kubashiri wamefika kwenye Zahanati inayopatikana eneo hilo na kutoa msaada kwenye siku ya kina Mama duniani. Katika kuhakikisha wanaonesha kuuthamini mchango wa mwanamke katika jamii walifika katika Zahanati hiyo na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula,…

Read More

VIDEO: Heche adakwa na Polisi Kariakoo, apelekwa Central

Dar es Salaam. Mkutano wa hama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umeshindwa kufanyika baada ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mchache baada ya kupanda jukwaani kuanza kuhutubia umma. Mkutano huo ambao ni mwendelezo wa kutoa elimu kuhusu kampeni yao ya ‘No reforms, no election’ (Bila mabadiliko, hakuna…

Read More

Uuzaji kemikali kiholela janga mtaani

Dar es Salaam. Katika mitaa ya Jiji la Dar es Salaam, uuzaji wa kemikali unafanyika pasipo kufuata taratibu za usajili, hivyo kuchochea madhara ya kiafya na kimazingira. Kemikali hizi ni zile zinatumika kutengeneza bidhaa kama vile sabuni, batiki na dawa za kuondoa madoa kwenye nguo. Mwananchi katika ufuatiliaji kwenye baadhi ya maeneo jijini hapa limezungumza…

Read More

Marekani kuongeza nguvu mapambano ya saratani nchini

Dar es Salaam. Wizara ya Afya Tanzania na Taasisi ya Biden Cancer Moonshot ya nchini Marekani, wamekaa kikao cha pamoja kutathmini maeneo muhimu ya kushirikiana kupambana na  saratani nchini. Tanzania na Marekani wamekubaliana kukabiliana na uhaba wa wataalamu, ukosefu wa miundombinu wezeshi, vifaa tiba hasa vya kutoa huduma za mionzi, takwimu, tafiti na ubunifu ili…

Read More