KAPINGA: TATHMINI ZA MARA KWA MARA NI MSINGI WA UFANISI WA KAZI.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesisitiza umuhimu wa kufanya tathmini za mara kwa mara katika taasisi za zilizochini ya Wizara yake kama njia ya kuboresha utendaji kazi, kuongeza ufanisi na kufikia Malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050. Amebainisha hayo Januari 9, 2026 Jijini Arusha, wakati wa ufungaji wa…