TTC Memphis yatinga nusu fainali tabora
TTC Memphisi imekuwa ya kwanza kutinga nusu fainali ya Ligi ya Kikapu Tabora, baada ya kuvuna pointi 10 kutokana na ushindi wa michezo mitano mfululizo. TTC inafuatiwa na Stylerz Centre yenye pointi nane na ingemaliza na tisa kama ingekamilisha robo ya nne. Kutokana na sheria ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Kikapu duniani (FIBA),…