NMB yadhamini Mkutano Mkuu ALAT Taifa; Rais Samia kufungua leo – MWANAHARAKATI MZALENDO
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 120, Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Sima Constantine Sima (katikati) kwa ajili ya udhamini wa Mkutano Mkuu wa ALAT Taifa utakaofanyika kuanzia leo jijini Zanzibar. Kushoto ni Afisa Mkuu…