Maximo aiombea KMC | Mwanaspoti

LICHA ya kuachana na kikosi cha KMC, kocha Marcio Maximo amesema bado anaiombea dua njema timu hiyo ibaki Ligi Kuu Bara. Ni wazi kwamba KMC haina msimu mzuri kwani ndiyo inayoshika mkia ikiwa imecheza mechi 16, imeshinda mbili, sare mbili na kupoteza 12 ikikusanya pointi 18. Maximo ambaye alianza na timu hiyo msimu huu kabla…

Read More

Baltasar Engonga ahukumia minane jela

Dar es Salaam. Mahakama nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu aliyekuwa mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (NFIA), Baltasar Engonga kwenda jela miaka minane kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kujitajirisha kinyume cha sheria. Ikumbukwe Engonga aligonga vichwa vya habari duniani mwaka jana 2024 baada ya kusambaa kwa kasi kwa kanda za…

Read More

Hiki hapa chanzo cha ahaji ajali migodini

Dar es Salaam. Wakati mara kadhaa Serikali ikinyooshewa kidole pale zinapotokea ajali kwenye migodi, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini, Terrence Ngolo amesema ajali hizo haziwezi kuisha kutokana na watu kukiuka maelekezo ya wataalamu. Amesema wakati mwingine ajali hizo hutokea kwa uzembe hasa pale wachimbaji wanapokiuka maelekezo ya tahadhari yanayotolewa na wataalamu. Ngolo amesema hayo leo…

Read More

yanga yakwama kwa Mtibwa, Simba ishindwe yenyewe

Nuksi ya sare imeendelea kuiandama Yanga baada ya jana kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Huo umekuwa ni mchezo wa tatu mfululizo kwa Yanga kupata matokeo ya sare tasa katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Azam FC na TRA Unted. Sare hiyo inaonekana kuwa na faida kwa Simba…

Read More