
Wenye ulemavu waonya uvunjifu wa umani kuelekea uchaguzi mkuu
Mbeya. Wakati joto la uchaguzi mkuu likizidi kupanda nchini, Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Viungo nchini (Chawata) Mkoa wa Mbeya kimesema amani na usalama unahitajika kuliko kitu kingine kwani hali ikichafuka wao ndio waathirika wa kwanza. Pia, kimeomba vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi kutoa fursa kwa watu wenye ulemavu wa viungo ili kupata wawakilishi watakaoweza…