
WAKAZI ZAIDI YA 300 WA WAKAZI KITONGOJI CHA MAKEI WILAYA YA SAME WAONDOKANA NA CHANGAMOTO YA MAJI,
Na Ashrack Miraji Michuzi Tv Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kijiji cha Bangalala, kata ya Bangala wilayani Same, wameondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi, hali ambayo imewasumbua kwa zaidi ya miaka 20. Hali hii inajitokeza baada ya Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutekeleza mradi wa…