DRC katika hali tete na fukuto la M23 kuitaka Kinshasa

Wakati dunia ikielekea kuadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani Juni 20, mwaka huu, nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), maelfu ya wakimbizi nchini humo walikuwa wamekimbia makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea. Kwa mujibu wa ‘Voice of America’, kambi ya Minova ina wakimbizi zaidi ya 3,000 wanaohifadhiwa ambao wanaishi maisha magumu bila kupata misaada. Wakuu…

Read More

CHAN 2024: Faini zarindima CAF, Kenya yapewa onyo

KAMATI ya Nidhamu la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu nidhamu katika michuano ya CHAN inayoendelea na kutoa uamuzi kadhaa dhidi ya vyama vya soka vya Zambia, Kenya na Morocco. Katika kikao hicho Shirikisho la Soka Zambia (FAZ) lilipatikana na hatia ya kukiuka Kanuni za vyombo vya habari wakati wa mkutano…

Read More

Mtalii afariki dunia, watano wajeruhiwa kwa ajali Ngorongoro

Arusha. Mtalii mmoja raia wa Israel ambaye jina lake halijafahamika (mwanamke) amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumapili Januari 5, 2025 na Kaimu Meneja wa Uhusiano wa Umma wa NCAA, Hamis Dambaya imeeleza ajali hiyo imetokea…

Read More

Kigwangalla ammwagia maua MO Dewji, Simba

Mwanachama mwandamizi wa Simba na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dk Hamis Kigwangalla amefurahishwa na maendeleo ya timu hiyo huku akisema kwa sasa anakoshwa na utendaji kazi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji. Kigwangalla ametoa kauli hiyo akipinga taarifa feki iliyotolewa na ukurasa wa X uliojitambulisha kwa jina lake ukimlaumu Dewji…

Read More

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA WILLIAMSON DIAMOND KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA BEI YA ALMASI

MWADUI – SHINYANGA Serikali kwa kushirikiana na Kampuni Williamson Diamond inaweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na changamoto ya kushuka kwa bei ya madini ya almasi katika soko la Dunia kutokana na kuibuka kwa almas inayotengenezwa katika Maabara na kuongezeka kwa mahitaji ya madini mengine. Hayo yalielezwa na Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde wakati wa ziara…

Read More

Watiania ubunge, uwakilishi Chaumma kujulikana kesho

Arusha. Zikiwa zimesalia siku nne kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kufanya uteuzi wa watiania wa nafasi za urais, ubunge na udiwani, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kinatarajia kupitisha majina ya wagombea wake kesho, Agosti 24, 2025, baada ya kikao chake kilichoanza leo. Vyama vya siasa nchini vinaendelea na mchakamchaka wa kuwateua…

Read More