NYAKATI ZA MWISHO ZA THERESIA MDEE – MWANAHARAKATI MZALENDO
Theresia Mdee, mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee, alifariki dunia Jumanne, Julai 30, 2024, baada ya kuugua saratani ya shingo ya kizazi. Kauli zake za mwisho ziliwaachia watoto wake ujumbe wa wapendane, wafanye kazi kwa bidii, na wasimsahau Mungu. Theresia alifariki akiwa na umri wa miaka 68 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa,…