VIDEO: Mpina awashtaki Bashe, Dk Mwigulu, Kamishna TRA
Dar es Salaam. Jopo la mawakili wa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina limefungua kesi tatu za kikatiba Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, ikiwamo ya kupinga uamuzi uliomsimamisha mbunge huyo kuhudhuria vikao 15 vya Bunge. Kesi hiyo imefunguliwa dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania, ambaye kwa sasa ni Dk Tulia Ackson na…