CCM ilivyopanga upya wawakilishi Zanzibar
Unguja.Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikihitimisha mchakato wake wa ndani wa kuwapata wagombea watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka huu, ni majimbo mawili pekee ambapo wateule walishinda katika kura za maoni, lakini majina yao hayakuteuliwa Zanzibar. Badala yake, majina ya waliokuwa wameshika nafasi ya pili katika mchakato huo ndiyo yameteuliwa kupeperusha bendera…