Bodi ya Ligi Zanzibar yachukua hatua vipigo vya waamuzi
KATIKA Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), bado waamuzi wameendelea kuteseka kwa kuchezea vipigo kutoka kwa mashabiki, viongozi na hata wachezaji. Hata hivyo, Bodi ya Ligi Zanzibar, imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuwafungia mashabiki na viongozi wa timu kushiriki katika mashindano yoyote yanayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu (ZFF). Licha ya adhabu hizo, lakini sio…