Mbunge adai Rais mstaafu Zanzibar anaishi kwenye hali ngumu
Dodoma. Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Suleiman Haroub Suleiman amesema Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Salmin Amour Juma anaishi katika hali ngumu baada ya nyumba yake kukabiliwa na mmomonyoko wa udongo. Dk Salmin aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar katika kipindi cha kuanzia Oktoba 25 mwaka 1990 hadi Novemba 8, mwaka 2000. Akiuliza swali bungeni leo…