Unavyoweza kumjua hasidi wa ndoa yako

Katika maisha ya ndoa, hakuna jambo zuri kama kuwa na mwenza unayependana naye kwa dhati, lakini pia hakuna changamoto kubwa kama kushughulika na watu wasiokutakia mema uhusiano huo.  Watu hawa, mara nyingi huingia katika maisha ya wanandoa kama marafiki, ndugu, au hata majirani, lakini lengo lao si jema. Ni muhimu sana kutambua na kujua dalili…

Read More

Mgombea mwenza Chaumma akerwa utitiri wa kodi, ushuru kwenye mazao, aahidi neema

Morogoro. Mgombea mwenza urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amewahakikishia Watanzania endapo chama hicho kitaingia madarakani kero ya tozo za mazao ya kilimo na utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara zitaondolewa. Amesema Serikali ilipaswa kuwawezesha wakulima kwa zana bora za kilimo  na sio kusubiri wakulima kuteseka kulima, kuvuna na baadae kudaiwa ushuru….

Read More