Nidhamu ni msingi bora wa malezi
Dar es Salaam.Nidhamu ni msingi wa malezi bora na maendeleo ya mtoto, lakini mara nyingi imekuwa ikihusishwa na adhabu kali, vitisho au maneno ya kuumiza. Ingawa njia hizi zinaweza kutoa matokeo ya haraka, tafiti…

Dar es Salaam. “Kwa takribani miaka mitatu sasa maisha ninayoishi na mume wangu ni kama hatupo ndani ya ndoa. Tunaishi nyumba moja na kulala katika kitanda kimoja lakini kila mtu na maisha yake. “Sehemu pekee ambayo inatukutanisha na kuzungumza ni katika masuala yanayohusu malezi ya watoto na majukumu ya familia.Mmoja wetu anaweza akapata changamoto na…
Dar es Salaam, Tanzania, Sunday 24 August 2025 – Coca-Cola Kwanza Ltd proudly hosted the Minister of Industry and Trade, Dr Seleman Said Jafo (MP) at its Dar es Salaam facility. The visit provided a valuable opportunity to showcase the company’s commitment to doing business the right way – guided by integrity, shared value creation, and…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Leonel Ateba sasa ni rasmi hatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu ujao, baada ya kutua klabu ya Al – Shorta ya Iraq iliyompa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba na anatarajia kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Ateba aliyeitukikia Simba kwa mkataba wa mwaka mmoja na kuifungia mabao 13 msimu…
::::::: Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)kimempitisha mwanachama wa ambaye pia aliwahi kuwa Naibu instahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya ilala Ojambi Didas Masaburi kuwa Mgombea ubunge wa Jimbo la Kivule jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Masaburi ambaye aliongoza katika mchakato wa kura za maoni ndani…
Bwana Yesu asifiwe naitwa Mwalimu George Mbwambo kutoka Dar es salaam Karibu kwenye mahubiri ya siku ya Leo yenye kichwa kinachosema ‘Namna amani ya Kristo inavyofanya kazi kwenye maisha ya mtu” Kila mwanadamu hutamani kuishi maisha ya utulivu, usalama na furaha ya kweli. Lakini mara nyingi dunia hii hujaa misukosuko, hofu na mashaka. Watu wengi…
Dar es Salaam. Wazazi wamehimizwa kuwatibu watoto wanaopata ugonjwa wa mafindofindo (tonsillitis) mapema na kwa wakati ili kuwaepusha na hatari ya kupata magonjwa ya valvu za moyo. Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Salehe Mwinchete wakati wa kambi ya siku nne ya upasuaji wa moyo iliyokuwa ikifanywa…
Bwana Yesu asifiwe naitwa Mwalimu George Mbwambo kutoka Dar es salaam Karibu kwenye mahubiri ya siku ya Leo yenye kichwa kinachosema ‘Namna amani ya Kristo inavyofanya kazi kwenye maisha ya mtu” Kila mwanadamu hutamani kuishi maisha ya utulivu, usalama na furaha ya kweli. Lakini mara nyingi dunia hii hujaa misukosuko, hofu na mashaka. Watu wengi…
“Uwanja huu ni fursa kwa vijana wa Kyerwa, na siku moja timu kubwa za Tanzania zitakuja kucheza hapa,” alisema Nsekela kwa shauku. Aliongeza kuwa, “Hata hivyo, naomba kuwaasa wazazi kuwa michezo ni nyongeza kwa elimu na si badala yake, hivyo ni vyema kwa wazazi kuwasaidia mtoto wako kuwa bora darasani, ndipo talanta yake kiwanjani itakapokuwa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wabunge Marafiki wa Umoja wa Afrika katika Bunge la Japan, Mhe. Yamagiwa Daishiro (Mb) tarehe 21 Agosti 2025 pembezoni mwa Mkutano wa TICAD 9 jijini Yokohama. Mheshimiwa Waziri Kombo…