TANZANIA NCHI YA MFANO USAWA WA KIJINSIA
Na Pamela Mollel,Arusha Tanzania imeendelea kuwa nchi ya mfano katika kukuza usawa wa kijinsia, hasa kwa hatua zake za kihistoria za kuwa na Rais mwanamke wa kwanza, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Aidha, uwakilishi wa wanawake bungeni umefikia asilimia 37, hatua inayoashiria maendeleo makubwa katika kuhakikisha wanawake wanashiriki kikamilifu kwenye uongozi na maamuzi ya kitaifa. Hayo…