Simba, Yanga zaendelea kupanda CAF
Dar es Salaam. Simba imeendelea kuonyesha ukubwa wake Afrika baada ya kupaa katika viwango vya ubora wa klabu vya CAF hadi nafasi ya tano huku mtani wake Yanga naye akipanda. Kwa Simba kuwa nafasi ya tano inamaanisha imepanda kwa nafasi mbili kutoka ya saba ambayo ilikuwepo kabla ya kuanza msimu uliopita. Kwa mujibu wa chati…