Miili ya watoto wachanga yaokotwa Dar na Geita, mmoja wachomwa moto
Dar/Geita. Miili ya watoto wachanga wawili imeokotwa katika mazingira tofauti jijini Dar es Salaam na mkoani Geita, mmoja wao ukiwa umetupwa kichakani na kuchomwa moto. Katika tukio la jijini Dar es Salaam, mwili wa mtoto mchanga wa kiume umeokotwa katika Mtaa wa Mpakani, Kata ya Ndugumbi, Wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, baada ya…