
Askari Magereza ajiua akidaiwa kushiriki mauaji ya askari mwenziye
Njombe. Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe, Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake, Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo, halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma. Hayo yamebainishwa leo Septemba 21, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga wakati akizungumza na…