
Straika Namungo ndio basi tena!
MSHAMBULIAJI wa Namungo, Ibrahim Ali Mkoko amemaliza msimu kutokana na kufanyiwa tena upasuaji wa pili wa goti la mguu wa kulia, kutokana na mishipa yake kushindwa kupeleka damu kwa wakati sahihi. Akizungumza na Mwanaspoti, Daktari wa Namungo, Richard Yomba alisema mchezaji huyo kwa sasa hawezi kucheza tena mechi zote zilizosalia msimu huu, ingawa maendeleo yake…