Msigwa, Lissu jukwaa moja Singida
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Kanda ya Nyasa, Peter Msigwa amefika mkoani Singida kuungana na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwenye mikutano ya hadhara. Lissu amekuwa na mikutano ya hadhara mkoani Singida tangu mwanzoni mwa Juni inayotarajiwa kufanyika kwa wiki tatu. Msigwa aliyeshindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) katika uchaguzi wa…