IDADI YA WATALII YAPAA MAPANGO YA AMBONI YAFIKIA 19,000
Na Oscar Assenga,TANGA IDADI ya Watalii wa Ndani na Nje ya Nchi imezidi kuongezaka katika Mapango ya Kihistoria ya Amboni Jijini Tanga katika kipindi cha kutoka Watalii 8000 mpaka zaidi 19000. Takwimu hizo ni katika mwaka wa Fedha 2024/2025 hatua hiyo imewezesha Kupata mapato ua zaidi ya Milioni 40 hali inayowezesha Kuwa Mapango yaliyo na…