Singapore na Tanzania zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

………….. Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji, biashara na uwekezaji, elimu na kilimo ili kuchochea kasi ya maendeleo ya Taifa na wananchi wake.   Makubaliano hayo ambayo yatatekelezwa kupitia Programu ya Ushirikiano wa Singapore (Singapore Cooperation Program), yamefikiwa…

Read More

Mtanzania aula na makinda ya Barcelona 

MCHEZAJI kinda wa Kitanzania, Barka Seif, ameula katika kikosi bora cha vijana wenye umri chini ya miaka 12 kilichochaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Catalonia (FCF). Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye vipaji kutoka klabu mbalimbali ndani ya Catalonia kama vile Barcelona, Espanyol RCD, Girona na Damm. Barka amechaguluwa katika kikosi hicho kufuatia kufunga mabao 18 katika…

Read More

Mwalimu aahidi kujenga Kariakoo ndogo Nkasi

Nkasi. Ili kukuza uchumi wa wananchi wanaoishi maeneo ya mipakani na kuimarisha fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimeahidi kuanzisha soko la biashara la ‘Kariakoo ndogo’ katika Kijiji cha Kirando, wilayani Nkasi, Mkoa wa Rukwa endapo kitachaguliwa kuunda Serikali Jumatano ya Oktoba…

Read More

Kinachomfanya Dk. Samia kuwa mgombea wa kipekee

Na Hafidh Kido KATIKA Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi sasa ni 16 baada ya mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo kuenguliwa ambapo kwa sasa vyama vilivyopo kwenye kampeni ni; CCM, NCCR-Mageuzi, CUF, CHAUMMA,TADEA, TLP, MAKINI, NLD, SAU, DP, UPDP, CCK, AAFP, UMD, UDP na NRA. Chama…

Read More

Watu 4 Wauawa, Wengi Wamejeruhiwa – Global Publishers

Watu wanne wamepoteza maisha na wengine wanane kujeruhiwa baada ya mtu mwenye silaha kushambulia ibada katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho huko Grand Blanc Township, Michigan, Jumapili asubuhi, polisi wanasema. Mshukiwa aliuawa na maafisa waliojibu tukio. Mamlaka zimetambua mshukiwa kuwa Thomas Jacob Sanford, 40, ambaye alidaiwa kulipiga…

Read More

Chadema yamtilia shaka Mwakilishi UN

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeonesha wasiwasi wa kuwepo kwa mgongano wa masilahi dhidi ya Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (UN), Parfait Onanga-Anyanga, aliyetumwa kuzungumza na makundi mbalimbali nchini kuhusu matukio ya Oktoba 29. Onanga-Anyanga, amefanya ziara hiyo Machi 8 hadi 12, mwaka huu na kuzungumza na wadau mbalimbali, wakiwamo viongozi…

Read More

Watoto wa Sudan ni kizazi kilicho hatarini

Shirika hilo linasema zaidi ya watu milioni 12 wako hatarini kukabiliwa na ukatili wa kijinsia. “Watoto wanauawa, waliojeruhiwa, na kuhamishwa, ukiukwaji mkubwa wa haki ukiripotiwa kila siku. Wengine wanalazimishwa na kujiunga na silaha silaha, utumwa wa watoto, na ndoa za mapema,” Alisema Lucia Elmi mkurugenzi wa dharura wa UNICEF. Madhara ya kupoteza ni makubwa, mizozo,…

Read More

Tofauti za kihisia kati ya wanawake na wanaume

Dar es Salaam. Mijadala kuhusu tofauti kati ya wanawake na wanaume imekuwepo kwa muda mrefu, lakini mijadala inayohusu hisia na mawasiliano imekuwa nyeti zaidi kwa sababu inagusa maisha ya kila siku kama ndoa, uhusiano wa kimapenzi, familia na hata sehemu za kazi. Mara nyingi migogoro hutokea si kwa sababu ya kukosa upendo au heshima, bali…

Read More