Tshabalala: Tumepambana tatizo refa | Mwanaspoti
NAHODHA wa timu ya Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amesema licha ya juhudi kubwa walizoweka uwanjani kuhakikisha wanatwaa Kombe la Shirikisho Afrika, ndoto hiyo ilizimwa na maamuzi tata ya refa Dahane Beida kutoka Mauritania. Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mechi ya pili ya fainali dhidi ya RS Berkane, Tshabalala alisema wachezaji wa Simba walipambana kwa…