WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHAMBUA NA KUREJELEZA TAKA KUELEKEA SIKU YA TAKA SIFURI DUNIANI

………. Dar es Salaam, Machi 20, 2026 Wananchi nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchambua taka ngumu majumbani na katika maeneo yao ya kazi, badala ya kuzitupa ovyo, ili kulinda mazingira na kuongeza thamani ya taka hizo kiuchumi. Wito huo umetolewa na Balozi wa Mazingira wa kujitolea nchini, Moses Mwakibolwa, wakati akizungumza kuelekea maadhimisho ya Siku…

Read More

Taifa Stars yaanguka nafasi nne viwango FIFA

Dar es Salaam. Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanguka kwa nafasi nne katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) vilivyotangazwa leo, Septemba 18, 2025. Tanzania imedondoka kwa nafasi kutoka ya 103 ambayo ilikuwepo awali hadi nafasi ya 107 kwa viwango vilivyotolewa leo na FIFA. Kufanya vibaya…

Read More

DKT NCHIMBI AWAHUTUBIA WANA LONGIDO,ARUSHA.

MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John  Nchimbi, amewahutubia Wananchi wa Longido kwenye mkutano mdogo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Polisi, leo Ijumaa Septemba 12,2025. Mara baada ya kuwasili eneo la Mkutano,Balozi Nchimbi alikaribishwa kwa kuvalishwa vazi la heshima la…

Read More

NYAVU HARAMU ZANASWA CHATO, WAZIRI ATOA MAELEKEZO.

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetangaza azma ya kuanzisha chombo maalum kitakachosimamia rasilimali za uvuvi, lengo likiwa ni kulinda mazao yanayotokana na Ziwa Victoria dhidi ya uharibifu. Hatua hii imekuja baada ya wataalamu wa wizara hiyo waliopelekwa wilayani Chato kutoa elimu kwa vitendo, kubaini kuwepo kwa wimbi kubwa la uvuvi haramu katika eneo…

Read More