Rais Samia Mgeni Wa Heshima, Kongamano la 42 TVA, Mkoani Arusha.
Na Jane Edward, Arusha Kongamano la 42 la kisayansi la chama cha kitaaluma madaktari wa wanyama Tanzania, linatarajiwa kufungulia na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan litakalohusisha Washiriki elfu mbili kutoka katika sekta za Wanyamapori na Mifugo kutoka nchi za Jumuiya ya Madola Mkoani Arusha. Aidha Kongamano hilo limeandaliwa na Chama cha Madaktari wa…