SERIKALI YASAINI MKATABA WA BILIONI 82.9 UJENZI WA BARABARA UWANJA MPYA WA AFCON
***** Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imesaini mkataba wa Uboreshaji na Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara za Kuelekea na Kuzunguka Uwanja Mpya wa Mashindano ya AFCON-2027 Jiji la Arusha wenye thamani ya Shilingi ya Bilioni 82.9. Hafla ya utiaji saini imefanyika leo tarehe 20…