Trump Amchimba Mkwara Meya Mpya wa New York, Zohran Mamdani – Global Publishers
Rais wa Marekani, Donald Trump amemchimba mkwara meya mpya (Mteule) wa New York, Zohran Mamdani kwamba anapaswa kuwa na heshima kwa Washington, kwa sababu asipofanya hivyo, hana nafasi ya kufanikiwa. Akirejea hotuba ya Mamdani ya kukubali ushindi kama Meya wa Jiji la New York, amesema kuwa imejaa hasira dhidi yake na ‘ni…