
KMKM, AS Port zatambiana CAF
KOCHA wa AS Port, Seninga Innocent, amesema kuchagua kuutumia Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Zanzibar kwa mchezo wao wa nyumbani dhidi ya KMKM kutoka visiwani hapa, sio sababu ya kushindwa kirahisi, bali watapambana kupata ushindi. Innocent ameyasema hayo jana Jumamosi Septemba 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kwanza wa…