ANGELLAH KAIRUKI AREJESHA FOMU YA UTEUZI KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIBAMBA KUPITIA CCM

Kibamba, Agosti 27, 2025 – Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Angellah Kairuki, amerudisha rasmi fomu ya uteuzi kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), hatua muhimu kuelekea kuteuliwa rasmi kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Mhe. Kairuki aliwasili katika ofisi za INEC akiambatana na mgombea ubunge…

Read More

Mjadala kutokomeza ukatili kijinsia kufanyika Zanzibar

Unguja. Zanzibar inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa saba wa viongozi mbalimbali duaniani kuhusu miji na maeneo salama ya umma, mjadala mkuu ukilenga kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Maeneo mengine yatakayojadiliwa ni namna ya kuanzisha na kuendeleza miji inayotumia teknolojia ya kisasa, kukuza utalii, biashara na uchumi wa buluu. Akizungumza na waandishi wa…

Read More

Sababu iliyomtoa Denis Kitambi Fountain Gate

BAADA ya Denis Kitambi kutoonekana na kikosi cha Fountain Gate katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar iliyochezwa Septemba 28, 2025 kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, taarifa zinabainisha amemalizana na uongozi wa klabu hiyo huku sababu ya kufanyika hayo ikiwekwa wazi. Kitambi aliyeonekana kwa mara ya kwanza akikiongoza kikosi hicho Agosti…

Read More