Mwili wa Askofu Mkuu Rugambwa waagwa Vatican
Dar es Salaam. Mwili wa Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, aliyekuwa Balozi wa Papa nchini New Zealand unaagwa leo Septemba 25, 2025 mjini Vatican. Askofu Mkuu Rugambwa alifariki dunia Septemba 16, 2025 akiwa Roma, nchini Italia. …