Matarajio ya harusi yalivyogeuka msiba Rufiji
Dar es Salaam. Waswahili husema, “kisicho riziki hakiliki,” methali hiyo imeakisi uhalisia katika familia ya Jamal Kwangaya iliyopo wilayani Rufiji mkoani Pwani. Familia hiyo iliyokuwa katika matarajio ya harusi, ghafla mpango huo uligeuka huzuni, baada ya aliyetarajiwa kuolewa kupoteza maisha. Bibi harusi mtarajiwa Hanifah Kwangaya ni mmoja kati ya ndugu wanne wa familia moja walipoteza…