Wasichana wapewa mbinu kupambana na ukatili wa kijinsia

Dar es Salaam. Katika jitihada ya kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo rushwa ya ngono kwa wanawake wajasiriamali, taasisi inayoshughulika na uwezeshaji wa wasichana ya Her Initiative imekuja na jukwaa mseto la kidigitali la Ongea Hub ili wasichana wajasiriamali waripoti matukio ya ukatili wa kijinsia. Pia, kupitia jukwaa hilo wasichana wajasiriamali wanaunganishwa na mamlaka…

Read More

Juma Kaseja mguu sawa Championship

BAADA ya ratiba ya Ligi ya Championship kuwekwa wazi, Kocha wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amesema moja ya malengo makubwa anayopambana nayo ni kuhakikisha anakirejesha tena kikosi hicho Ligi Kuu Bara, licha ya ushindani mkubwa uliopo. Akizungumza na Mwanaspoti, Kaseja alisema baada ya ratiba kutoka na kikosi hicho kuanza mechi mbili mfululizo nyumbani, wanahitaji kupambana…

Read More

TAWA YATUMIA MAONESHO YA 31 YA NANE NANE 2025 KUELIMISHA UMMA NA KUUZA VIVUTIO VYA UTALII

::::::: Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), kupitia Kanda ya Kaskazini, inaendelea kutumia jukwaa la Maonesho ya Nane Nane 2025 yanayoendelea katika Viwanja vya Nane Nane mkoani Arusha kuwafikia Watanzania kwa kuwapatia elimu kuhusu uhifadhi, utalii na fursa za uwekezaji katika maeneo yake ya usimamizi. Kupitia ushiriki wake ndani ya banda la pamoja la…

Read More

AZAKI NA VIONGOZI WA DINI WAKUTANA KUJADILI NDOA ZA UTOTONI.

Na Lilian Ekonga………… Shirika la Msichana Initiative na shirika la Norwegian Church Aid wamekutana na viongozi wa dini mbalimbali kutoka mikoa zaidi ya 10 kwa lengo la kujadili na kujenga uelewa kuhusu mabadiliko ya umri wa ndoa. Akizungumza na waandishi wa Habari katika mkutano huo Mkurugenzi wa Shirika la Msichana intiative Rebeka Gyumi amesema wamekutana…

Read More

Tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani

Bunge la 12 linakaribia kuvunjwa hivi karibuni. Hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani, kama ilivyokuwa kwa Bunge hili la 12. Kutokuwepo kwa kambi thabiti ya upinzani kumelifanya Bunge hili likose hoja kinzani zenye mashiko na mvuto masikioni mwa wasikilizaji na watazamaji. Hata ikitokea kwamba Watanzania, kwa…

Read More

Nani kasema kitanda hakizai haramu?

Canada. Kuna imani kuwa kitanda hakizai haramu. Uzoefu wetu unaonyesha kuwa kitanda kinazaa haramu japo huhalalishwa kwa visingizio mbalimbali kama mila, ujinga na ubutu wa teknolojia. Ujio wa kipimo cha DNA unaonyesha kuwa kitanda kinazaa haramu tu.  Kusema kitanda hakizai haramu ni uchafu kimila. Ni hatari, majuto, na makosa makubwa kwa wasioamini wala kukubali uchafu…

Read More