Uongozi kituo cha afya Ilula waonywa wakipokea msaada wa gari la wagonjwa
Iringa. Uongozi wa Kituo cha Afya Ilula umeonywa kutobagua wagonjwa wanaohitaji kutumia gari la kubebea wagonjwa na kuhakikisha wananchi wote wenye uhitaji wanapata huduma bila kikwazo. Hayo yamesemwa leo, Jumatano, Januari 29, 2025, na mbunge wa Kilolo, Justine Nyamoga, alipokuwa akikabidhi gari la kubebea wagonjwa kwa kituo hicho kilichopo Kitongoji cha Masukanzi, Kata ya Ilula,…