RIPOTI MAALUM: Yanga, Azam zaongoza kuathirika na viwanja vibovu
BAADA ya uchunguzi wa Mwanaspoti kubaini takribani viwanja 14 vinavyotumika na timu za Ligi Kuu havikidhi vigezo vya mwongozo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika, athari tatu zimebainika kusababishwa na uduni huo. Athari hizo ni majeraha kwa wachezaji, wachezaji kushindwa kufanyia kazi vyema ufundi na mbinu na pia kupunguza mapato kupitia fedha za viingilio…