Uchumi wa Tanzania Bara kukua kwa asilimia 6, Zanzibar 6.8

Dar es Salaam. Benki kuu ya Tanzania (BoT), imesema mwaka huu ukuaji wa uchumi Tanzania Bara unatarajiwa kuwa asilimia sita huku ule wa Zanzibar ukikua kwa asilimia 6.8 mwaka huu . Ukuaji huu unatajwa kuwa utachochewa na ongezeko la uzalishaji katika shughuli za kilimo, miradi ya ujenzi, maboresho katika usafirishaji na ugavi, nishati ya uhakika,…

Read More

Cheza Sloti ya 100 Super Icy Ushinde Mikwanja Leo

  Shinda mkwanja wa kutosha kwa kucheza Sloti ya 100 Super Icy ambayo imekua ikiwapa watu wengi mkwanja mjini, Wewe tu ndio umebaki huu ndo wakati wako sasa wa kuibuka na kitita Cheza leo ushinde. 100 Super Icy ni mchezo mpya wa sloti wenye kusisimua kutoka kwa watengenezaji wamichezo ya kasino ya mtandaoni kampuni ya…

Read More

Gets Program kurudi upya WPL

KOCHA wa Gets Program iliyopanda daraja msimu huu, Aristides Ngowi licha ya kuwa na wachezaji wengi vijana ambao hawana uzoefu na ligi, lakini wanapambana jambo linalowapa motisha ya kujipanga upya kipindi hiki cha mapumziko. Timu hiyo haikuanza vyema ligi ikipitia changamoto ya ukata uliosababisha baadhi ya wachezaji kutimka kambini na kutafuta changamoto sehemu mbalimbali. Wachezaji…

Read More

Mbaroni kwa mauaji ya watu wawili na kujeruhi mmoja

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuberi Habibu mkazi wa Kijiji cha Madudumizi B kata ya Zombo Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro anashikiliwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama Wilayani humo kwa tuhuma za mauaji ya Watu wawili na kumjeruhi mmoja. Mwenyekiti wa kamati ya usalama Wilaya ya Kilosa ambaye ndio mkuu wa Wilaya hiyo…

Read More

Wafanyabiashara wa dagaa waiangukia Serikali

Unguja. Wafanyabiashara wa dagaa kisiwani hapa wameiomba Serikali kuwasaidia kwa kuwapatia vifaa maalumu vya kuanikia, ili kuhakikisha bidhaa hiyo inakuwa na ubora unaokidhi viwango vya soko. Wakizungumza leo Aprili 24, 2025 na Mwananchi Digital katika eneo la Fungu Refu, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wamesema takriban wajasiriamali 3,000 huendesha shughuli za uanikaji wa dagaa katika eneo….

Read More

Profesa Lipumba achaguliwa tena mwenyekiti CUF, aweka historia

Dar es Salaam. Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa. Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, akiwashinda wenzake saba waliokuwa wakichuana katika…

Read More

Dreamliner ATCL yafumuliwa injini Malaysia

Dar es Salaam. Ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), Boeing Dreamliner ipo kwenye matengenezo makubwa ya lazima katika mji wa Kuala Lumpur, nchini Malaysia, Mwananchi limebaini. ATCL imekiri kuwa ndege hiyo yenye namba za usajili 5H-TCJ ipo kwenye matengenezo hayo tangu Novemba 2023 na inatarajiwa kukamilika Juni, 2024. Hii ni ndege ya pili…

Read More